Friday, July 22, 2016


 
Msanii mahiri wa maigizo Kajala,leo amesherekea siku yake ya kuzaliwa ambapo katika kumuwish siku hiyo wasanii mablimbali wamemuunga mkono kwa kumtakia maisha mema.

Lakini katika kile kilichoaacha watu midomo wazi ni kitendo cha mwanamama huyo kujifotoa mapicha na kuyasambaza katika mitandao ya kijamii kama inavyoonekana hapo chini.



A photo posted by Kajala Masanja (@new_kajala) on

0 comments:

Post a Comment