Friday, July 22, 2016


Katika kile kinachoonekana kama kukubalika zaidi kwa kazi za msanii,Diamond Platnumz,leo hii moja ya mchezaji mashuhuri wa Ureno na klabu ya Fc Porto Ricardo Quaresma amekutwa akicheza wimbo wa staa wetu  wa KIDOGO.

Kupitia ukurasa wake wa twitter Diamond amepost video inayomuonyesha staa huyo akiwa na mwanae katika bwawa la kuogelea huku wimbo huo ukiwaburudisha watu mbalimbali waliofika eneo la tukio akiwemo mcheza soka huyo.

0 comments:

Post a Comment