Sunday, July 10, 2016


Katika kile kinachoonekana kama kuikosoa Serikali na nutendaji wake wa kazi,Mwanamitindo na mjasiriamali wa kiamtaifa Flavian Matata ameijia juu ya Seriakali baada ya kuwataka wakurugenzi wapya kuwasilisha vyeti vyao vya kielimu ili kutambua uwezo wao kielimu.

Kupitia ukurasa wake wa Twiiter,Matata alisema kuwa anashanganzwa na tukio hilo kwani ni jambo linaloweka sintofahamu juu ya utendaji wa Serikali.


0 comments:

Post a Comment