Mama Wema akihojiwa na Miss Tanzania 2014, Lilian KamazimaUsiku wa Jumamosi hii katika ukumbi wa King Solomon jijini Dar es salaam mastaa wa muziki, filamu pamoja na wadau mbalimbali walivunja makabati ya nguo kwa kuvaa nguo kali ili kuonyeshana umwamba katika Red Carpet ya show ya ‘The Black Tie’ iliyoandaliwa na staa wa filamu, Wema Sepetu.
Show
hiyo ambayo ilianza majira ya usiku, ilipambwa na mkali wa masauti,
Christian Bella huku akisindikizwa na wasanii mbalimbali. Angalia picha
za red Carpet.
Faiza Ally
Faiza Ally akiwa na shabiki wake
Linah akihojiwa
Linex
Esha Buheti
Miss Tanzania 2014, Lillian Kamazima
Utampenda Bi. Linah Sanga
Steve Nyerere na wadau wake
photo by: bongo5
0 comments:
Post a Comment