Friday, July 1, 2016


Allen Kicharungu's photo.
Allen Kicharungu's photo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
amempokea Mhe. Paul Kagame Rais wa Jamhuri ya Rwanda kwa ziara rasmi ya kiserikali.
Rais Magufuli ameambatana na Mkewe Mama Janeth Magufuli na Rais Kagame ameambatana na mkewe Mama Jeannette Kagame. Ziara hii ni ya siku mbili.

0 comments:

Post a Comment