Thursday, July 28, 2016

369E300C00000578-3709885-Say_cheese_It_s_clear_the_baby_is_every_bit_as_photogenic_as_his-m-33_1469604381146
Akiwa na miezi saba sasa, bado sura ya Saint West haijulikani kwa wengi sababu ameendelea kumficha ndani.

Na sasa Kim Kardashian ameona ni muda wa kumuonesha mtoto huyo wa kiume kwenye macho ya dunia kwa mara ya kwanza. Kim alionekana kwenye mtoko wa familia Jumanne hii huku kamera za kipindi chao, Keeping Up With The Kardashians zikirekodi matukio yote.
369EB64E00000578-3709885-A_born_star_Kim_dressed_Saint_in_matching_camouflage_short_and_s-a-29_1469604212584
Kim aliongozana na mwanae wa kwanza, North, na watoto watatu wa dada yake Kourtney. Mason, Penelope na Reign kwenye ziara yao huko San Diego. Hiyo ni mara kwanza Saint anaonekana kwa mashabiki ambaye mara chache sana amekuwa akiwekwa kwenye Instagram.
369E33DC00000578-3709885-image-a-20_1469579803051
Kutolewa nje kwa mtoto huyo kumekuja baada ya Kim aliyeolewa na Kanye West kudai kuwa mtoto wake ameanza kuongea. Tazama picha zaidi za familia hiyo.
369E3EFD00000578-3709885-image-m-184_1469582595435
369E3F7D00000578-3709885-Let_s_go_The_three_year_old_seemed_eager_to_dash_ahead_as_they_s-a-6_1469600751430

369E3F8500000578-3709885-Skintight_Kim_wore_a_plunging_top_as_she_was_joined_by_sisters_K-m-168_1469582018053

369E4E4600000578-3709885-Shopping_trip_Saint_wore_a_cute_camouflage_top_and_olive_shorts_-a-151_1469580951218

0 comments:

Post a Comment