Monday, July 25, 2016



Diamond Platnumz alikua msanii pekee kutoka Afrika Mashariki aliyealikwa kutumbuiza kwenye tamasha kubwa la muziki wa Afrika lililofanyika kwa mara ya kwanza New York Marekani kwenye uwanja unaochukua watu elfu 18.
Kulikua na Wasanii mbalimbali waliotumbuiza wakiwemo kutoka Ghana na

Nigeria kama Wizkid, Davido, Tiwa Savage, Flavour wa Nigeria, sehemu tu ya show yaDiamond Platnumz unaweza kuitazama kwenye hii video hapa chin

0 comments:

Post a Comment