Posted by Williammalecela.com on Wednesday, August 24, 2016
Usiku wa August 23 2016 moja ya tukio lililotawala katika baadhi ya mitandao ya kijamii ni pamoja na kuuwawa kwa Askari Polisi wanne Mbande nje kidogo ya Dar es salaam baada ya majambazi kuvamia eneo lililokaribu na Bank ya CRDB.
0 comments:
Post a Comment