Saturday, August 6, 2016

Le Mutuz Nation kuelekea Ziwa Empakai Ngorongoro Conservation live!!



Nyumbu Njiani kuelekea Ziwani Empakai.


Viboko kuelekea Ziwani


Zebra kuelekea Ziwani




Ziwa la ajabu Empakai Crater ni ziwa lililotokana na Mlipuko wa Volcano ya Mlima Oldonyo Lengai, na kuchimba Ziwa hili ambalo halijawahi kukauka na hulisha wanayama wote wa eneo hili la Ziwa.









0 comments:

Post a Comment