Lulu Auggen ‘Amber Lulu’ akiwa nyumbani kwake.
Msomaji wa Mpaka Home, leo tunaye mwanadada ambaye hivi sasa ndiyo habari ya mjini kwenye mitandao ya kijamii, huyu si mwingine ni Lulu
Auggen ‘Amber Lulu’ anayeishi Mwananyamala jijini Dar na ndugu yake aitwaye Bhoke au Kibonge Sexy. Ungana nami kujua mambo mengi kuhusu mrembo huyu.
Mpaka Home: Mambo vipi Lulu? Ni ajabu leo nimekuona umevaa dera?
Lulu: Hahahaa! Mbona kawaida tu nikiwa ‘kihome home.’
Mpaka Home: Sawa, tukiachana na dera lakini watu wengi wanakuchukulia tofauti na mavazi yako ya vichupi, wewe unalizungumziaje hilo?
0 comments:
Post a Comment