Posted by Williammalecela.com on Thursday, August 11, 2016
 |
| Na Mwandishi Wetu:- Blogu ya Wananchi leo tunatihibitisha kurudiana rasmi kwa Super Star Diamond na Wema Sepetu,
kwamba wamekuwa pamoja tena kwa muda wa Wiki Tatu sasa. Inasadikiwa
kwamba hata safari ya juzi Wema alipoenda South Africa aliondokea Madale
nyumbani kwa Mwanamuziki huyo Maarufu sana nchini. Diamond amekuwa
akimpigia simu mara nyingi kila mahali Wema anapokuwa ili kuhakikisha
hayupo na Mwanaume mwingine. Wema Sepetu alirejea nyumbani jana kutoka
South Africa ambako alikuwa amefuatana na shoga yake namba moja Muna
Love. |
0 comments:
Post a Comment