
diamondplatnumzNIKO na MILIONI 5 Cash Mkononi kwa kikundi kitachotuma clip ya kudance #KIDOGO sawia haswaaaa!!! yani sio kiwasiwasi waue Haswaaaa....... tena wamix na style zao wenyewe... Narudia tena Wauwe haswaaa!!!... haya wapigie simu wanao Mjipange kesho Mtume clip kwa namba
hii +255654019091 na mkisha tuma mpandishe insta na kuhashtag neno#KIDOGO .... na kesho hiyo ntatangaza Mshindi Anapatikanaje
0 comments:
Post a Comment