Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Misungwi, Mhe. Charles Kitwanga baada ya kuzungumza na wakazi na wasafiri eneo la Busisi kabla ya kuvuka na kuelekea Jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mbunge wa Misungwi, Mhe. Charles Kitwanga akimtajia badhi ya changamoto jimboni kwake mbele ya wakazi wa Usagara katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza.
0 comments:
Post a Comment