Posted by Williammalecela.com on Monday, August 29, 2016
Muziki
wa Singeli haubagui umri kama wapenzi hao wa muziki walivyokutwa
wakisakata
kwa hisia muziki wa Singeli kwenye tamasha la Mziki Mnene
lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania.Tamasha hilo lililoanza jijini Dar
es Salaam eneo la Boko mwishoni mwa wiki, litaendelea katika mikoa ya
Pwani na Dar es Salaam.
Wakazi
wa Boko jijini Dar es Salaam wakihangaika kucheza muziki wa Singeli
kwenye
tamasha la Mziki Mnene lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania.Tamasha hilo
lililoanza jijini Dar es Salaam eneo la Boko mwishoni mwa wiki,
litaendelea katika mikoa ya Pwani na Dar es Salaam.
Msaanii
wa Muziki wa Singeli, Machupa akikonga mioyo ya wapenzi wa muziki huo
kwenye
tamasha la Mziki Mnene lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania.Tamasha hilo
lililoanza jijini Dar es Salaam eneo la Boko mwishoni mwa wiki,
litaendelea katika mikoa ya Pwani na Dar es Salaam.
Wapenzi
wa muziki wakiwa sambamba na Msanii wa Muziki wa Singeli, Machupa
kwenye
tamasha la Mziki Mnene lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania.Tamasha hilo
lililoanza jijini Dar es Salaam eneo la Boko mwishoni mwa wiki,
litaendelea katika mikoa ya Pwani na Dar es Salaam.
Wakazi
wa Dar es Salaam wakionyesha ujuzi wa kucheza muziki wa Singeli kwenye
tamasha la Mziki Mnene lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania.Tamasha hilo
lililoanza jijini Dar es Salaam eneo la Boko mwishoni mwa wiki,
litaendelea katika mikoa ya Pwani na Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment