Posted by Williammalecela.com on Monday, August 29, 2016
 |
"Kikao
cha pamoja cha Kamati Kuu na wabunge wa CHADEMA kilichokuwa kinafanyika
Giraffe Hotel Mbezi Beach kimevamiwa na kuvunjwa na mapolisi. Viongozi
wote, akiwemo Lowassa na Mbowe, Katibu Mkuu Mashinji na wabunge na
wajumbe wa Kamati Kuu wamepelekwa Central Police Station.
Tundu Lissu" - (Salvatory Mkami Facebook)
|
0 comments:
Post a Comment