Tuesday, August 2, 2016

Msanii kutoka kiwanda cha bongo movie Shamsa Ford alifanya Birthday Party yake kwenye ukumbi wa Bilicanas Dar es salaam, Birthday Party
hiyo iliyohudhuriwa na mashabiki na kumtambulisha mpenzi wake mpya kwenye tukio la kulishana keki, Mtu wangu usisahau kuniachia comment yako hapa mkali huyu ataziona.


0 comments:

Post a Comment