Tuesday, August 2, 2016

Snapchat na Instagram zimekuwa sehemu maarufu kwa watu maarufu kutufahamisha mambo tofauti kuhusu maisha yao,

Hivi karibuni Snapchat ya Diamond na Zari imezagaa ‘Trend’ zaidi nje na ndani ya Tanzania baada ya kubeba ujumba kuwa wawili hawa wanategemea mtoto wa kiume.
diamon na zarii


0 comments:

Post a Comment