Monday, August 8, 2016

 
Diamond PlatnumzMwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anadaiwa kumtusi staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma baada ya kumuomba msanii wake akarekodie katika studio zake za Wasafi Classic Baby (WCB).Tukio hilo
lililopigwa chabo na chanzo chetu lilijiri wikiendi iliyopita katika moja ya studio za runinga ambapo Wastara alikwenda kumpeleka msanii wake aitwaye Ibrahim Khaan kwa ajili ya mahojiano.Sosi wetu aliliambia Wikienda kuwa, Diamond alimshushia Wastara matusi kwa madai kuwa ni shabiki wa Ali Kiba na kwamba kwa muda mrefu alikuwa akimsaka ili ampe makavu.

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

0 comments:

Post a Comment