Mshindi wa pili washindano la TecnoCamon C9,
Michael
Nyantori amekabidhiwa zawadi yake baada ya kufanikiwa kufanya vyema katika shindano hilo lililokwenda kwa jina
la “C9 challenge”. Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa simu ya ke Michael
anasema kwamba moja ya vitu vilivyomvutia ni Camera ya simu. Msikilize zaidi hapachini
Simu ya Tecno Camon
C9 ilizinduliwa hivi karibuni jijini Dar es Salaam
na kwa sasa inakimbiza kwa idadi ya mauzo katika maduka mbalimbali nchini. Camon
C9 inauwezo wa hali ya juu katika kupiga picha, uwezowa 4G LTE
na teknolojia mbalimbali za kisasa ikiwemo uwezo wakujaza watu wengi takribani 50
katika selfie na “make up”
halisi ambayo itazipa picha zako muonekano wa tofauti wa kuvutia.
Michael
akiwa na uso wenye tabasamu baada ya kukabidhiwa simu yake.



0 comments:
Post a Comment