Mrembo maarufu kutoka Kenya,Vera Sidika ameweka wazi kuwa alifanyaPlastic surgery ili aweze kuwa na matiti makubwa.Vera
aliyasema hayo akiwa kwenye mahojiano ya Tv na kipindi cha Friday Night
live cha EATV ambapo alieleza kuwa alifikia uamuzi huo baada ya kuona
sehemu zingine za mwili wake ni kubwa kasoro matiti,hivyo akaamua
kutafuta mwili wenye uwiano."Kipindi nakua toka teenager kuwa youth,mwili wangu ulianza kuwa mkubwa na ukaanza kuwa mkubwa sehemu nyingine huku kwa juu nikawa kama nimenyimwa kidogo,halafu kwenye industry kama holywood sio big deal,watu wanafanya surgery kama kawaida ila kwa Afrika ni kitu kipya..Nilifanyiwa surgery ya matiti,inaitwa boob job,nilikuwa nataka niwe na mwili wenye uwiano,nilfanyiwa marekani,holywood na iligharimu kama dola elfu 30"
Alifunguka Vera Sidika ambaye
pia alidai kuwa uamuzi huo ulichangiwa na ukweli kwamba alitaka avutie
zaidi kwenye show biz na kuongeza kuwa hela alizotumia kufanya plastic
surgery zinarudi kutokana na madili anayopata kwenye show biz kutokana
na muonekano wake ikiwemo kuonekana kwenye videos za wasanii,magazines
na special appearance kwenye clubs.
0 comments:
Post a Comment