Posted by Williammalecela.com on Thursday, September 08, 2016
Ni miezi 4 imepita tangu Audio ya ngoma hii ilipoachiwa. Na ni masaa 4 tu yamepita tangu video hii ipandishwe katika mtandao wa Youtube, Ngoma inaitwa “Rarua” na Malaika ndio mmiliki wa ngoma hii. Enjoy nayo video yake.
0 comments:
Post a Comment