DAR:
Jeshi la Polisi linawashikilia wanachama 22 wa CUF kwa tuhuma za
kupanga njama za kufanya fujo na kuchoma mali za ofisi za chama hicho.
- Wanachama hao walikamatwa na zana za kufanyia uhalifu yakiwemo mapanga, jambia, visu na chupa za kupulizia 10 zikiwa kwenye boksi lenye maandishi ya lugha ya kichina.

0 comments:
Post a Comment