Diamond ametangazwa kwenye orodha nyingine ya wasanii watakaoperform kwenye tuzo za MAMA.
Diamond
ambaye anawania kipengele cha ‘Best Male’ ataungana na Alikiba ambaye
alitangazwa awali, wasanii wengine watakaotumbuiza ni pamoja na Yemi
Alade, Nasty C, Emtee, Cassper Nyovest na Patoranking.
Tuzo hizo zitatolewa tarehe 22 Oktoba Johannesburg, Afrika kusini.
0 comments:
Post a Comment