Msanii
wa Bongo Fleva Ruby ambaye leo ameachia kazi yake mpya inayofahamika
kwa jina la ‘Wale Wale’ ambayo imetayarishwa na mtayarishaji Man Water
amefunguka na kusema kuwa yeye siyo chizi kusema ashindwe kutokea kwenye
baadhi ya video ya wasanii.
Rubby
Ruby akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo amesema kuwa alikuwa hana haja ya kukataa kuonekana kwenye baadhi ya nyimbo ambazo yeye ameshirikishwa ila kuna wakati mwingine watu hao walikuwa wakimzingua.
“Unajua ukisikiliza maneno ya upande mmoja unaweza kudhani labda kinachoendelea ni sawa mimi siwezi kukataa kufanya video zao sema muda mwingine unakuta wao ndiyo wanazingua, kuna muda mwingine mimi ndiyo nazinguliwa, watu wananikwamisha ili nisionekane kwenye hizo video” alisema RubyMbali na hilo Ruby amewataka mashabiki zake wasahau mambo yoyote yaliyotokea kipindi cha nyuma na sasa amekuja kivingine na anaomba support kwa mashabiki.

0 comments:
Post a Comment