Posted by Williammalecela.com on Monday, September 26, 2016
 |
"LIVE
HARD FACTS:- Binadam kwa kawaida tunatumia 5% ya Ubongo wetu kufikiri
lakini tunao MBURULAZZZ wanaotumia 1% na huwa wanakera sana na kelele
zao tunajaribu kuwaelemisha kuhusu Rais Magufuli kulifufua Shirika letu
la Ndege na Mapangaboi lakini hawasikii please naomba kuwapa more
serious FACTS ni kwamba ...(1). Boeing mnazozitaka zinauzwa moja kwa $
296M Bombardier tulizo nunua moja ni $35M so kwa
2 tumenunua kwa $ 70M badala ya $592M tumeokoa $502M ...(2). Boeing
inatumia Dumu moja la mafuta lita 4 kwa Sekunde Moja so kwa Lisaa Limoja
kwenda Songea itatumia lita 14,400 ....lakini Bombardier tulizonunua
kwa lisaa limoja zinatumia Lita 400 tofauti ya lita 14,000 ....now
kwenda Mwanza Boeing itatumia Saa Moja na Dakika 15 na Bombardier Saa
Moja na Dakika 40 tofauti ni Dakika 25 tu ambazo Bombardier itatumia
Robo Lita tu .....so tumeokoa Lita 14,000 kwa Safari moja tu ya Lisaa
Limoja hapa hapa Nyumbani .....(3). Kama bei ya mafuta ya ndege ni Tsh.
2,000 kwa lita Safari ya Lisaa Limoja tu kwa Boeing tutahitaji lita
14,400 x 2,000 = Tsh. 28M ni Abiria 96 kwa nauli ya Tsh. 300,000 kila
mmoja ....lakini kwa Bombardier Safari ya Lisaa Limoja ni lita
398.386875 x 2,000 = 796,773 so itakuwa ni Tsh. 797,000 ......now kwa
akili ya kawaida ndio kwanza unafufua shirika lililokufa utaanza na
Boeing ya gharama ya Tsh. 28M kwa Saa Moja au Bombardier yenye Gaharama
ya Tsh. 8K kwa Safari hiyo hiyo? ....I mean bado kuna gharama za kupanua
Viwanja vyetu cause Boeing inahitaji Viwanja vikubwa ila tulizonunua
zinatua Viwanja vyetu vyote bila tatizo ndio maana Rais Magufuli akaamua
kununua ndege 2 za Bombardier kwa $70M badala ya Boeing 1 kwa $296M
ambazo kwa gharama hiyo tungenunua Bombardier 19 .....so guys Chairman
Mao aliwahi kusema "NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK" kama huna FACTS
nyamaza kuliko kujivua nguo kuwa ni MBURULAZZZZ U know! MUNGU AMBARIKI
RAIS MAGUFULI Miezi 10 tu ya Urais wake matunda yanaonekana huko upande
wa pili kuna Waliokuwa Mawaziri Wakuu kwa Miaka 11 matokeo ni kama wao
Zero% hahahahaha NAFWAZZZZZ! - le Mutuz Nation
|
 |
"EXTRA
LIVE STRAIGHT TALK:- Rais Magufuli aliahidi kuifufua Airtanzania ambayo
ilikuwa imekufa na juzi moja ya Ndege 2 alizonunua Canada imekuja
yameanza makelele mengi kutoka kwa Viongozi wapingaji wa kila kitu cha
Serikali
na masikini ya Mungu Wafuasi wao ambao uwezo wa kufikiri na
kutafuta ukweli ni zero% wakilinganisha sisi na Ethipian Airline na
Kenya + South Africa now kama kawaida yangu naomba
kuwapa FACTS wasizozijua ni kwamba ...(1). Ethiopian walianza na
Pangaboi hilo hapo juu Mwaka 1945 kwa mtaji wa €75,000 na hiyo ndege ya
kukodi sisi tulikuwa hatujapata hata uhuru bado leo wao ndio namba moja
Africa lakini walianza na Pangaboi leo wana ndege 87 na Mwaka huu
wamepata faida ya $175M ni kweli kwa akili ya kawaida unaweza
kutulinganisha nao? ...(2). Kenya Airways majuzi wamepunguza Wafanyakazi
80 kati ya 600 wanaopanga kuwaondoa by December baada ya kupata hasara
ya $ 258M eti unaweza kutulinganisha nao hawa wazee wa hasara? ...(3).
South Africa Airways wamepunguza kazi zao kwa 43% kwa sababu ya hasara
ya jumla ya R700M ambayo ni 11% ya mtaji wa Kampuni nzima now eti
mnatulinganisha na hawa wazee wa hasara? ....now Air Tanzania
ilianzishwa rasmi Mwaka 1977 kwa ndege moja kubwa Boeng 767 ya kukodi
from Ethiopian by Mwaka 2000 tayari lilikuwa na hasara ya $50M na mpaka
Mwaka 2005 Serikali yetu ilikuwa imeingia hasara ya $ 19M kutokana na
kuwa na ndege kubwa zinazoliliwa na wasioelewa mwanzo wa Shirika la
ndege unavyokuwa ......by Mwaka 2014 CAG aligundua Mameneja 3 wa Shirika
hilo walihusika na kuliibia shirika hilo Jumla ya $ 41.1M mmoja yupo
Rumande kwa kesi hii sasa hivi alikamatwa baada ya Rais Magufuli kushika
madaraka na kuamua kulifugua upya Shirika hilo na amenunua ndege hizo
mbili za kuanzia hapa hapa ndani then litasimama mpaka nje ila toka
Magufuli awe Rais shirika hilo alilolikuta na ndege 2 ndogo halijawahi
kupata hasara tena so ustaarabu ni kumpa nafasi alirudishe Shirika hilo
ambalo toka limeanzishwa mpaka leo halijawahi kutuingizia faida
isipokuwa lilipoanza tu 1977 liliwahi kupata faida ya $ 650,000 mpaka
Magufuli ameshika Urais lilikuwa ni hasara tupu guys tumia akili ya
kuambiwa na kuchanganya na yako kabla hujakurupuka!| - le Mutuz Nation
|
0 comments:
Post a Comment