Posted by Williammalecela.com on Monday, September 26, 2016
 |
Mhe
Neema Mgaya mbunge wa viti Maalum mkoa wa Njombe akitoa msaada wa
vitabu katika shule za sekondari za serikali na za wazazi mkoani
Njombe.
Ameshatoa shule 23 za sekondari zikiwemo za Wilaya ya Ludea, Wanging'ombe na Njombe.
|
0 comments:
Post a Comment