Posted by Williammalecela.com on Monday, September 26, 2016
 |
"Tunashukuru
Mungu tulichokusudia Bunge Sports club kuchangisha pesa kwa ajali ya
waathirika wa tetemeko la Ardhi Kagera tumefanikiwa kwa kiwango kikubwa
shilingi mil.187 zimepatikana zinaenda kusaidia wananchi wetu wa
Kagera....sambamba na hilo Bunge Netball tuliwashinda TBC netball na
kuibuka washindi."
|
0 comments:
Post a Comment