Anti Ezekiel Awashuki wanaosema anajipendekeza kwa Zari
auntyezekiel - Naitwa Aunty Ezekiel Grayson
jujuman Ukipenda .Mama Cookie Mnyakyusa hasilia .Sasa bac Nataka
niwaambie kitu kimoja mana kujibu mmoja mmoja Muda huo sina ni hv
Nafanya ntakalo sifanyi Mtakayo mana nina uhakika nyie mnaokaa kubishana
na mm vibanda vya mbavu za zaMmbwa zinawashinda so muda mnaokaa
mkafatilia yangu mngeenda tafuta lakufanya .Oooh njaa Yes I say tena
Yes mana mnataka nibadili Red kuwa Yellow kwani yule c ni boss wa mkata
viuno wang au!!!Sasa kama ni boss ulitaka nibishe niseme mm ndio Boss
bac nifungue band yetu acheze!!!Mnawazimu nn na Namuheshimu kama Mshkaji
rafiki boss wa bwanaangu na siwezi acha kushirikiana na Familia yake
eti kisa Ushuzi mtasema nn.Sitaki kutaja majina ya watu ila kilichopo
ndio ukweli asilia Mama Tee ndio mwanamke na Mama watoto wa Nasibu no
way hata tulambe rami kubadili ni ngumu Ila mwenyewe akibadili bac na
Sisi tutabadili ila kwa sasa ni Mama tee Shukrani gud Day msaliti
kulingana na wakati eti umemuacha mumeo jela mlitaka nikagongane nae
jela Au nikae miaka 20 akitoka nina miaka 50 nazaa lini nalea lini
nakufa lini Wapuuzi nn msinichefue mie msitake niongee
yasiyowahusu...Mnanitoa Povu kama mmenilaza kwenye sabuni ya Unga

0 comments:
Post a Comment