Posted by Williammalecela.com on Monday, October 17, 2016
Hatimae leo Msiba wa Masaburi umewakutanisha Lowassa na Kikwete pale Karimjee Hall.
Kinyume
na matarajio ya Wengi kwamba wawili hawa hawaongei kutokana na bifu zao
za kisiasa lakini walipo kutana wamekumbatiana wamecheka kwa bashasha
sana bila shaka kesho magazeti mengi yatauza picha yao.
0 comments:
Post a Comment