"Nisingependa
kuona watu wanapata ajali hapa Ukonga ,Mombasa kisa wafanyabiashara
wamekaa sehemu ambazo wananchi ndiyo njia yao ya kupita kwa miguu, Serikali imetenga maeneo muhimu kwa ajili yenu wafanyabiashara na
mnatakiwa kwenda huko lakini sio kuweka biashara zenu kwenye vituo vya
daladala na sehemu za wapita kwa mguu na kulazimika wapite kwenye
barabara. Nakuagiza RPC kuanzia jumatatu wafanyabiashara hawa
nisiwaone na wa waende sehemu zilizopangwa kufanyia biashara zao" - Mkuu
wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment