RAIS Mstaafu wa awamu ya tano Ali Hassani Mwinyi amekiri kuwa Rais John Magufuli anafuata nyayo za baba wa taifa Mwalimu Julias Nyerere kutokana na mampambano yake zidi ya rushwa.
DK Mwinyi amesema hayo leo jiji Dar es Salaam baada ya mazungumzo maalum na Rais Magfuli ambapo alimpongeza kutokana na kasi yake.
hata hivyo DK Mwinyi amebainisha kuwa Rais Magufuli anamuuenzi baba wa Taifa kwa vitendo
0 comments:
Post a Comment