![]() |
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Paul C. Makonda
pia alipata nafasi ya kutembelea daraja linalounganisha kata ya
Bonyokwa na Kinyerezi na kuzungumza na wakazi wa kata hizo ukizingatia
daraja hilo limeanza kujengwa toka mwaka 2013 mpaka sasa halijaisha
ikiwa ni moja kati ya kero ya wananchi wa kata hizo.
|
Thursday, November 24, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment