![]() |
| Le Mutuz Nation Kusaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Masaki Jumatatu jioni. |
![]() |
| Kuwasili kwa mwili wa marehemu kutoka Ujerumani nyumbani kwake Masaki. |
![]() |
| Safari ya Urambo via Tabora Alfajiri Ijumaa. |
![]() |
| Tabora mjini kusubiri mwili wa marehemu ufike jioni kwa safari ya Urambo kwenye mazishi. |
![]() |
| Ijumaa jioni Uwanja wa Ndege Tabora kusubiri mwili wa marehemu. |
![]() |
| Ndege iliyobeba mwili wa marehemu Sitta ilipowasili uwanja wa ndege wa Tabora Ijumaa jioni. |
![]() |
| Mwili umeshashushwa tayari kwa safari ya Urambo kijijini kwa marehemu kwenye mazishi. |
![]() |
| Baada ya masaa mawili ya safari kutokea uwanja wa ndege Tabora mwili umewasili Urambo nyumbani kwake marehemu. |
![]() |
| At Kwezi Hotel Urambo Ijumaa usiku with Clouds Big Boss Joe Kusaga, Super Star Comedian Steve Nyerere, Gebby Mgalula Frndikira. |
![]() |
| Jumamosi Asubuhi kwenye Uwanja wa Extended Primary School kuuaga mwili wa marehemu. |
![]() |
| Mjane wa Marehemu Mama Magreth Sitta pamoja na watoto na familia nzima ya marehemu. |
![]() |
| Sala za mwisho kabla ya kwenda kuupumzisha mwili wa marehemu kwenye nyumba yake ya milele. |
![]() |
| With Mbunge wa Geita King Msukuma, Le Mutuz Nation and Joe Kusaga Clouds Big Boss Uwanja wa ndege wa Tabora tayari kwa safari ya kurudi Dar Jumamosi jioni. |
![]() |
| Clouds Big Boss akizungumza na Pilot wa ndege maalum ya kurudi nayo Dar. |
![]() |
| With Dr. Seba Ndege Jembenijembe baada ya kutua uwanja wa ndege Dar. |



































0 comments:
Post a Comment