WAUNGWANA NAOMBA msaada
kwa atakayeliona au kusikia taarifa za gari aina ya Scania tanker yenye namba
ya usajili T401 CCY iliyokuwa ikitoka Dae es Salaam kuelekea Songea kupitia
njia ya Mkuranga Mkoani Pwani, Nangulukuru,Lindi , Masasi Mtwara pamoja na
Tunduru Mkoani Ruvuma siku ya Jumanne ya tarehe 15Novembba ya Mwaka huu.
Gari hilop lenye jina la Kadi la HAFSA OMARY MPANYE , Dereva pamoja
na Utingo wa gari hilo hawajulikani walipo na wala namba zao za simu zahipatikani
hadi muda.
Taarifa za kupotea gari
hilo ziko kituo cha polisi stakshari.Stk/rb/15976/2016 yahusika.Kwa atakaeiona
gari hilo tafadhali toa taarifa kwa simu no 0652222272,0753 222272.
Watanzania wote ni ndugu
naombeni msaada wenu ndugu zangu
0 comments:
Post a Comment