Posted by Williammalecela.com on Friday, November 18, 2016
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania Mhe. Dkt. Lu Youqing wakisaini Mkatababa wa makubaliano ya uwekwaji wa thamani katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. Tukio hili limefanyika mapema leo Wizarani Jijini Dar es Salaam
 Mazungumzo yakiendelea kabla ya kusaini mkataba
 Mhe. Waziri Mahiga akifafanua jambo kwa Balozi wa China nchini Tanzania Balozi Dkt. Youqing walipokutana Wizarani Jijini Dar es Salaam |
0 comments:
Post a Comment