Posted by Williammalecela.com on Monday, November 21, 2016
 |
LIVE
HARD TALK:- @paulmakonda Haya ni moja ya maajabu makubwa niliyoyaona
jana tulipotembelea Kigamboni I was left speechless!
...mashimo kama
haya 4 watu wanachimba kokoto in the Process kuna mpaka nyumba
zinakaribia kuangukia kwenye haya mashimo kwa sababu ya uchimbaji huu wa
ajabu ....now jana nilimuuliza RC toka watu wameanza kuchimba mpaka leo
Serikali ilikiwa wapi? talking about uharibifu wa mazingira this is the
worst thing I have ever seen with my own eyes ....ujumbe wangu
kwa Serikali ni kwamba something is not right na Kigamboni kwa ujumla
kama kweli tunataka kuifanya kama Dubai then we have a long way to go
inahitajika a serious Investment na my observations za jana ni kama
Serikali haipo haipo kule wananchi wanaishi tu as they wish mabadiliko
makubwa sana yanahitajika kule kwa Serikali kuonekana ipo na Serikali
kupigania big investors wawekeze kule ...MUNGU AIBARIKI TANZANIA! - le
Mutuz Nation |
0 comments:
Post a Comment