Azealia Banks ameingia na ujumbe mzito kwa Nick Minaj na kudiss kila kitu kuhusu Nicki Minaj.
Kupitia kurasa yake ya Facebook, Azealia aliposti ujumbe ambao ni wakudiss moja kwa moja kwa Nicki Minaj, na kukosoa kila kitu kutoka kwa Minaj kuanzia Nicki’s perfume, mavazi pamoja na makalio ya Nicki.
Posti hiyo haikutumia muda katika mtandao wa Facebook, Azealia aliifuta kwenye kurasa yake, ilikuwa inasema hivi.
“Slim down a bit (especially in your neck and arms),Decrease the butt just a bit (I’ve seen your butt make some really expensive dresses look really cheap) and STOP WEARING SPANDEX AS AN OUTFIT FOR F**KS SAKE. Also stop calling yourself the queen of rap. Queens don’t wear spandex sweety. Marketing genius yes, but your cheap made in China perfume smells like car freshener and your beverage tastes like kitchen cleaner. McDonalds sells a lot of burgers but no one is telling McDonald’s that they’re the pinnacle of cuisine and taste. This is true of you.”


0 comments:
Post a Comment