Tuesday, December 20, 2016



Baada ya kushindwa kesi aliyowafungulia Jay Z na Dame Dash kuhusu ukiukwaji wa hati miliki, Dwayne Walker amerudi tena kwa Beyonce kumdanda aishushe video ya “Drunk in Love”.


Kupitia taarifa ambayo imetolewa na mtandao wa Tmz, umeeleza kwamba Beyonce amefunguliwa mashitaka na Dwayne Walker baada ya kudai kwamba ndani ya video ya wimbo wa “Drunk in Love” ambao umetoka mwaka 2013, Beyonce ametumia logo ya “Roc-A-Fella” bila idhini ya Dwayne Walker.



0 comments:

Post a Comment