Posted by Williammalecela.com on Monday, December 05, 2016
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya Afya na Mbunge wa Mkuranga Dr. Idris Ali Mtulia mwenye suti, amefariki dunia muda mchache uliopita huko kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili, msiba upo nyumbani kwake Mtaa wa Mazengo, Upanga.
0 comments:
Post a Comment