Miezi miwili baada ya kutoka jela na kuachia ngoma mpya mtaani, Gucci Mane ameweza kupata nafasi ya kumvalisha mpenzi wake Keyshia Ka’oir pete ya uchumba.
Gucci Mane & Keyshia Ka’Oir
Na sasa good news nikwamba, Gucci Mane na Mpenzi wake wametangaza rasmi watafunga ndoa October 17, 2017.
Siku hio ni muhimu kwa Gucci, ambayo aliwahi kuimba kwenye 1017 Brick Squad na hata jina analotumia kwenye mtando wa twitter ni @Gucci1017.
Namba hii ni namba ya nyumba ya babu yake
kama alivyowahi kuimba kwenye wimbo wake
“Decapitated” kwenye album yake ya mwaka 2013 Diary of a Trap God.
0 comments:
Post a Comment