Baada ya kusambaa kwa video inayo muonesha mke wa rapper T.I, Tiny akicheza muziki na Floyd Mayweather, kulizuka tetesi za usaliti katika ndoa yao.
T.I & Tiny Harris
Mbaya zaidi ni kuwa T.I na Mayweather wana bifu ya muda mrefu na walishawahi kupigana. Video hiyo ilimfanya rapper huyo amchane kwa mafumbo mke wake na kuashiria kuwa hajapendezwa.
Na sasa mke wake Tiny ametumia mtandao wa Facebook kumjibu mume wake. Anadai kuwa kwa miaka mingi ni yeye ndiye amekuwa akiumizwa na anamshangaa kwa kukasirishwa na video hiyo inayo muonesha akicheza muziki na rafiki yake.
“When a woman’s fed up… For years i’ve been the one getting hurt, but now that a lil video done surfaced with me having a friendly dance , he’s mad?? Why? Yes, he’s my husband but damn can I not have a male friend?! Tip can’t be the only male friend I associate myself with just like I know I ain’t the only Female he associate hisself with so… It is what it is,” ameandika.
0 comments:
Post a Comment