Monday, December 26, 2016

Msanii Shilole kuchorwa tatoo ya ubavu na jamaa ambaye amemtaja kwa jina la Adam. Soudy Brown amepiga story na Shilole na amemuuliza kuhusu tatoo hiyo.
shilolee-13
’Amechora, ameonesha love basi fresh, lakini tatoo ya mbavu inauma, ana moyo, alinimbia ni kweli ameamua na imetoka kwenye moyo’

0 comments:

Post a Comment