Kwa mujibu Forbes, Taylor Swift ndiye mwanamuziki aliyeingiza fedha nyingi zaidi mwaka huu. Amewapiga bao wanaume wote wanaofanya muziki duniani.
Katika kipindi cha June 1, 2015 hadi June 1, 2016 — Swift ameingiza takriban dola milioni 170. Fedha nyingine ilipatikana kutokana na ziara yake ya 1989 na matangazo mbalimbali.
Chini ni orodha nzima:
Taylor Swift – $170 million
One Direction – $110 million
Adele – $80.5 million
Madonna – $76.5 million
Rihanna – $75 million
Garth Brooks – $70 million
AC/DC – $67.5 million
Rolling Stones – $66.5 million
Calvin Harris – $63 million
Diddy – $62 million
0 comments:
Post a Comment