Tuesday, December 6, 2016


LIVE STRAIGHT TALK:- Morning Guys CHANGAMOTO in life ni moja sababu muhimu sana ya kuziombea hata kama hazipo
in your life cause zinasaidia kutuweka kwenye mstari wa kufikiri na kupambana bila Changamoto in your life ni sawa na Umekufa na ukipitia Changamoto za maisha usililie lie just accept it as a FACT OF LIFE unapigana kimya kimya ...maisha ya New York City 

Downtown Miaka 25 yalinifundisha kufikiri all the times nikapigana na Changamoto zake mpaka nikaya master na ndio maana siku zote I love living Downtown kuishi Mjini peke yake ni Super Changamoto cause kwa mfano kama nilivyokuwa naishi New York City, na hapa Bongo sheria namba moja ni ile ile ya kuanza kulipia Parking ya Gari asubuhi subuhi kabla ya mambo yote ..

...so maana yake ni kwamba kabla ya kwenda kulala lazima uhakikishe una chenji za kulipia asubuhi Parking halafu ukifika Ofisini tena kuna kulipia Parking again ...hahahaha so akili ni lazima ifanye kazi kutafuta pesa na all the times cause ukikosa pesa haya maisha ya Downtown you are in trouble halafu kwa mfano lazima gari liwe zima all the times likiharibika kidogo au sana lazima upigane kulitengeneza siku hiyo hiyo cause hamna nafasi ya kupaki magari mabovu mjini na pia bila gari utaendaje kwenye mishe mishe ni Changamoto to changamoto kila siku and all the times KUPIGANA ...

.so guys CHANGAMOTO ni muhimu sana in our lives lazima kupigana kila siku it is health usilalamike mimi kwa kawaida huwa nazifurahia Changamoto kwa sababu kama ni mpya ina maana ni something Mungu au Maisha yanataka kunifundisha ambacho nilikiwa sikifahamu kwenye maisha na ni muhimu nikifahamu kwa faida ya mbele ya safari ya Maisha yangu ... kwa mfano ndugu hawakutaki kwa sababu huna kitu ni Changamoto ya kukufanya upigane uwe na kitu sio na wewe kuwachukia hapana au kuwalaumu hii ni Dunia ya mkono mtupu haulambwi na nipe nikupe ..

..ukipunguzwa kazini usilie lie tafuta kazi nyingine sheria ya maisha kama kweli wewe ni mchapakazi huwezi kukosa kazi in this life unless unachagua kazi sikuwahi kukosa kazi Majuu hata siku moja kama Mzungu boss wangu alivyoniambia one day "BILL AS LONG AS YOU WORK HARD AS YOU ALWAYS DO, GUARANTEE YOU WILL NEVER BE OUT OF WORK" - le Mutuz Nation

0 comments:

Post a Comment