Tuesday, December 6, 2016


"With Super Bilionea Carlos the Owner of Samaki Samaki Inc at Samaki Samaki Masaki....leo baada ya kuingia mkataba mpya na Samaki Samaki Inc. Wa kuitangaza tena kwa Miaka 5 ijayo.....by the way nimekuwa nikiitangaza kampuni hiyo kwenye my Social Media Tools for the last 3 years so kwa wale waliokuwa wanauliza sababu ya mimi kupigania kura za Instagram Awards hii ni mojawapo....thank U boss for believing in my Works!" - le Mutuz Nation

0 comments:

Post a Comment