Monday, December 12, 2016

Tokeo la picha la FREDNAND VERBIEST
Blog ya wananchi imeona leo ikujuze kuhusu histori fupi ya  usafiri muhimu unaotumika kwa asilimia kubwa duniani ambao ni gari.
 
Ferdinand Verbiest  ndiye binaadamu wa kwanz akutengeneza gari alizaliwa (9 October 1623 – 28 January 1688) belgium ambaye alikuwa ni mishionari kwenye nchi ya chini

alifanya ugunduzi wa gari kwenye miaka ya 1670 
Tokeo la picha la FREDNAND VERBIEST
modeli ya gari aliyitengeneza na bwana Verbiest

0 comments:

Post a Comment