Mwanadada anayekuja kwa kasi kinoma katika game ya music kutoka katika mikono ya Tanzania House of Talent (THT) Nandy ameacha gumzo katika mitandao ya kijamii baada ya kuomba msaada kwa mashabiki.
Ni kupitia page yake ya Instagram, Nandy aliwaomba mashabiki zake wamchagulie boyfriend, yaani mtu ambaye wanaona itakuwa poa sana wakimuona akiwa naye katika mahusiano ya kimapenzi.
0 comments:
Post a Comment