Apokea Ndege YA Kwanza kufanya Safari Mbeya
- Asema ujio wa ATC mkoani Mbeya utapunguza kero YA abiria kukwama uwanja wa Ndege mara kwa mara
- Awaomba wananchi kutumia shirika hilo kwa Safari za uhakika na kufanya hivyo ni kuunga Mkono jitihada za Rais Dr John Magufuli za kufufua shirika la Ndege Tanzania 

- ATC itafanya Safari za Dar - Mbeya- Dar kila siku YA JUMATATU ,JUMATANO,IJUMAA ,JUMAMOSI NA JUMAPILI
Siku TANO kwa WIKI Dar - Mbeya saa 6;30 mchana na MBEYA - Dar saa 8:30 mchana







0 comments:
Post a Comment