Akutana na wakuu wa wilaya, wakurugenzi na wakuu wa idara
- VIPAUMBELE katika kipindi hiki ni maandalizi YA kilimo, upokeaji wa wanafunzi kidato cha kwanza na darasa la kwanza , ukamilishaji wa vyoo na madarasa

- Kuanza maandalizi na ujenzi wa zahanati kila Kijiji na kituo cha Afya kila kata hadi kufikia mwaka 2020 mpango ukamilike
- Mkoa kuzalisha tani 4,000,000 za Chakula kutoka tani 3,000,000

- ATAKA kila mwanafunzi aliyechaguliwa kwenda sekondari aende Shule na wake wa darasa la kwanza wote wenye umri wa kwenda Shule waende Shule





0 comments:
Post a Comment