Akagua eneo kwa ajili ya malori na magari yote ya mizigo
- Huduma YA choo, Maji zimekamilika
Mkuu wa Mkoa ametembelea eneo la kupark magari yote ya mizigo eneo la Block T na kuagiza magari yote yanaingia mjini na kushusha au kupakia mzigo tu lakini BAADA ya hapo yatatakiwa wapark magari hayo hapo ili kuepusha
msongamano na uchafu katikati YA jiji
msongamano na uchafu katikati YA jiji
Madereva wamepongeza jitihada za Mkuu wa Mkoa kwa kuwapelekea huduma zote Muhimu na wamehaidi kutoa ushirikiano ili magari yote yawe eneo liliotengwa




0 comments:
Post a Comment